top of page

Semina: Misingi ya Kiroho ya Huduma za Kanisa

Jumatatu, 06 Jan

|

The Way Of The Cross Gospel Ministries

Askofu Dr. Israel Wandamba kutoka Tanzania atafundisha juu ya Misingi ya Kiroho ya Huduma za Kanisa: ni kwanini tunaimba, kwanini tunasifu na kuabudu, kwanini tunaomba, kwanini tunakarimu watu, n.k.

Registration is Closed
See other events
Semina: Misingi ya Kiroho ya Huduma za Kanisa
Semina: Misingi ya Kiroho ya Huduma za Kanisa

Time & Location

06 Jan 2020, 21:00 – 12 Jan 2020, 18:00

The Way Of The Cross Gospel Ministries, 405 Riggs Road Northeast, Washington, DC, USA

About the event

Askofu Dr. Israel Wandamba kutoka Tanzania atafundisha juu ya Misingi ya Kiroho ya Huduma za Kanisa: ni kwanini tunaimba, kwanini tunasifu na kuabudu, kwanini tunaomba, kwanini tunakarimu watu, n.k.

Semina hii itahusisha waumini wote wa kanisa la The Way, pamoja na watu wote wanaopenda kushiriki.

Semina itafanyika kwa njia zifuatazo:

1. Teleconference: Kuanzia Tarehe 6 hadi 10 Januari - 9:00PM-10:00PM. Namba ya teleconference itatolewa kwa watakaothibitisha kushiriki.

2. Ukumbini: Tarehe 11 na 12 Januari 2020 - 2:00PM-6:00PM. Pia kutakuwa na Mwalimu wa Praise & Worship Jumamos Tarehe 11 Januari 2020 - 11:00AM-1:00PM.

Share this event

bottom of page