picha

The Way Gospel Church ni zaidi ya huduma. Ni familia moja. Matukio yetu yanalenga kudumisha umoja na upendo katika ngazi ya familia na kanisa kwa ujumla.

Karibu ujumuike nasi katika kumtukuza Bwana.