top of page

MKUTANO WA INJILI NA ASKOFU DUNSTAN MABOYA KUTOKA TANZANIA

Alhamisi, 09 Jul

|

Kushiriki, piga namba +1 857 347 0566

Karibu usikie neno la Mungu kutoka kwa mtumishi wa Bwana Askofu Dunstan Maboya kutoka Tanzania. Hakika utabarikiwa.

Registration is Closed
See other events
MKUTANO WA INJILI NA ASKOFU DUNSTAN MABOYA KUTOKA TANZANIA
MKUTANO WA INJILI NA ASKOFU DUNSTAN MABOYA KUTOKA TANZANIA

Time & Location

09 Jul 2020, 20:00 GMT -4 – 12 Jul 2020, 04:00 GMT -4

Kushiriki, piga namba +1 857 347 0566

About the event

Mungu akubariki sana kwa kuendelea kuhudhuria katika Mkutano huu. Tunaamini umezidi kubarikiwa. 

Mkutano utaendelea kila siku mpaka siku ya Jumamos hii na pia tukauwa na ibada maalumu siku ya Jumapili. Tafadhali usikose kuingia na kumjulisha mwingine.

+++++++++++++++++++++++

NAMNA YA KUINGIA:

Piga namba hii +1 857 347 0566

Muda wa kuingia: 8:30PM EST

+++++++++++++++++++++++

Ikiwa ungependa KUPATA MSAADA ZAIDI au kushirikiana na sisi katika kazi ya Mungu tuandikie kwenye WhatsApp ya Kanisa: +1 202 913 8912.

Share this event

bottom of page