KATIKA UWEPO WA BWANA
KARIBU
KANISA LA KISWAHILI
NCHINI MAREKANI NA KWINGINEKO
Kanisa la The Way Gospel Church limeitwa kuzifikia jumuia za watu wanaozungumza lugha ya Swahili ndani na nje ya Marekani. Yesu aliwaamuru wanafunzi wake ya kuwa "enendeni, mkawafanye mataifa wote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu,..." (Mathayo 28:19). Kuna mamilioni ya watu wanaozungumza lugha ya Kiswahili ndani ya nchi ya Marekani ambao hawapati vizuri huduma ya neno la Mungu. Kuna mamilioni pia ambao wanaelewa kiingereza na lugha zingine za kimataifa lakini wangebarikiwa zaidi wakimwabudu Mungu katika lugha na mahadhi ya utamaduni wao. Kanisa la The Way Gospel Church lipo hapa kutimiza wito wa kitume wakati likichagiza lugha ya Kiswahili pia ambayo inawaunganisha mamilioni ya watu ndani na nje ya nchi ya Marekani.
MAOMBI ya kila siku
IBADA YA JUMAPILI
MAOMBI MAALUM
J'tatu-Ijumaa: Maombi ya Pamoja
Asubuhi 5:00AM-6:00AM
Mchana 1:00PM-2:00PM
Jioni 9:00PM-10:00PM
Jumamos: Maombi ya Wanawake
Jioni 9:00PM-10:00PM
Namna ya Kushiriki
Piga namba: +1 857 347 0566
(utaunganishwa moja kwa moja)
Maombi: 1:30PM-2:00PM
Ibada ya Jumapili: 2:00PM-4:00PM
NJOO, TUMWABUDU MUNGU KWA UMOJA!
Namna ya kushiriki kwa njia ya mtandao
Piga namba: +1 857 347 0566
(utaunganishwa moja kwa moja)
Ijumaa: Maombezi
Jioni 10:00PM-11:00PM
kiwa unahitaji kuhudumiwa na watumishi wa Mungu, andika ujumbe wa WhatsApp kwenye namba ya Kanisa ifuatayo, na utaunganishwa na watumishi wa Mungu wakati wowote.
(The Way Gospel Church)